Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) imetangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi, ambapo sasa kitakuwa Sh. 358,322, kutoka Sh. 275,060, ...